Posted on: December 31st, 2021
Wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria Hafla ya kumkabidhi Mhe. Mwanamvua Mrindoko Mkuu wa Mkoa wa Katavi Madarasa 196 yaliyojegwa kupitia mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na...
Posted on: December 25th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika anawatakia wananchi wote wa Tanganyika pamoja na Watanzania Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022...
Posted on: November 3rd, 2021
Kamati ya fedha, uongozi na mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika imefanya ziara ya siku tatu kutembelea baadhi ya miradi ya maendeleo. Ziara hiyo imetembelea eneo la majengo ya soko la madin...