Posted on: April 12th, 2024
Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanganyika Bw. Lincoln Tamba amewaasa waumini wa dini ya Kiislam wilayani Tanganyika na Tanzania kwa ujumla kuendeleza matendo mema waliyoyafanya msimu wa Ramadhan ili kuend...
Posted on: April 9th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh. Onesmo Buswelu leo amekagua ujenzi wa dharura wa barabara ya Mkokwa - Mnyagala na kuagiza ujenzi wake uende haraka ili wananchi waweze kuitumia barabara hiyo kwa shugh...
Posted on: April 8th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Mh. Onesmo Buswelu ametoa muda wa siku 3 kwa Tarura wilayani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa kivuko katika mto Mwali ili wananchi waweze kupita bila...