Posted on: February 17th, 2024
Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi imeendelea kupokea wageni kwa ajili ya kujifunza biashara ya Carbon (hewa ya ukaa) ambapo timu ya watu takribani 70 kutoka Mkoa wa Mtwara imewasili j...
Posted on: February 17th, 2024
Mbunge wa Jimbo la Mpanda vijijini Mhe. Moshi Kakoso ameishsuri Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika kuweka umakini katika ushuru wa mazao kwa kile alichodai Halmashauri inapoteza mapato eneo hilo.
...
Posted on: February 15th, 2024
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi kwa pamoja limeridhia na kupitisha rasimu ya bajeti ya mwaka 2024/2025 ya zaidi ya shilingi Biilioni 33.7
Akiwasilisha rasimu y...