Kitengo hiki kina lengo la kutoa huduma bora za usimamizi wa Fedha Idara hii inaongozwa na Mweka Hazina ambaye anawajibika kwa Mtendaji Wilaya.
Huduma mbalimbali zinazotolewa na zinazopatikana idara ya Fedha na Biashara ni;
Elimu ya mlipa kodi ; Idara inatoa elimu hii kwa njia ya mbalimbali ikiwemo vipeperushi, matangazo kwenye redio,Televisheni na magazeti.
Huduma za malipo mbalimbali ya watumishi na watoa huduma katika Halmashauri.
Leseni za biashara mbalimbali katika Halmashauri zinapatikana katika kitengo cha biashara.
Vitendea kazi vya kukusanyia mapato kama stakabadhi za kupokelea mapato, mashine za kielektroniki(POS Machine)
Ukusanyaji wa vyanzo vyote vya mapato ya halmashauri
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.