Posted on: July 10th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe.Onesmo Buswelu amefanya ziara katika ukanda wa Karema, ambapo ametembelea Bandari ya Karema na kujionea hali ya ujenzi wa meli nne (4) za mizigo ulipofikia.
...
Posted on: July 2nd, 2025
Jumuiya ya Uhifadhi wa Misitu na Milima ya Ntakata (JUMIMINTA) imetakiwa kuendelea kusimamia vyema zoezi la uhifadhi wa misitu ili iweze kuendelea kuleta tija kwa wananchi wanaozungukwa na misitu hiyo...
Posted on: July 4th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyia Mhe. Onesmo Buswelu amefanya ziara ya kutembelea kukagua miradi mbalimbali na kuzindua mradi wa maji uliopo kijiji cha Isubangala, Kata ya Ilangu.
Katika zi...