Posted on: September 26th, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Mpanda (Tanganyika ) kwa kushirikiana na wadau wa taasisi ya Jane Goodall wamekamilsha hati za hakimiliki za kimila 60 za mashamba. Mashamba hayo ya wananchi wa kijiji c...
Posted on: September 4th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mhe. Amos Makalla amehitimisha ziara yake ya kikazi wilayani Tanganyika. Amefanikiwa kutembelea tarafa zote 3 na alianza kuongea na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya M...
Posted on: September 15th, 2018
Wananchi wa wilaya ya Mpanda wamepatiwa hati miliki za kimila kwa ajili ya makazi na mashamba. Hati hizo zimetolewa kwa vijiji vya Mnyagala na Nkungwi. Jumla ya hati miliki za kimila 1,022 zimwtolewa ...