Waombolezaji na famiia ya Marehemu Robert . M. Magnus wakiwa katika ibada ya kumuaga mpendwa wao ambaye alikua ni Afisa Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.
Robert alizaliwa 19/02/1992 na kufariki 10/03/2024.
#tanganyika.dc
#robert'slife
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.