Halmashauri ya wilaya ya Mpanda (Tanganyika) imefanikiwa kuthibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu. Majangiri wanaswa na wengine kutaifishiwa mali walizokutwa nazo.
Balozi wa Marekani awanogesha wananchi wa Tanganyika (Vikonge)
Wamarekani kufanya utalii katika maporomoko ya Nkondwe. Eneo hilo la utalii ikolojia lina sokwe wengi kuliko sehemu zingine Duniani.
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.