Mapema Leo, Msimaizi wa Uchaguzi Kwa Jimbo la Tanganyika ameendesha mafunzo kwa makarani waongozaji wa vituo vya kupiga kura ukiwa Ni hatua muhimu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.



Makarani hao pia wameapishwa rasmi Kwa kula kiapo cha kutunza siri. Katika mafunzo hayo pia wamehimizwa kuwa waadilifu, na kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa haki, amani na uwazi.





TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.