Wananchi wa vijiji 15 vinavyozunguka msitu wa Tongwe Magharibi wamejengewa uwezo wa kuhifadhi.
Wananchi wa kijiji cha Majalila wameamua kuunga mkono juhudi za serikali kwa kutoa nguvukazi.