WANANCHI WAFAIDI MAMILIONI YA HEWA YA UKAA
Wananchi wa vijiji vya Lugonesi, Mwese, Lwega, Bujombe, Kapanga, Katuma, Mpembe na Kagunga wamepata zaidi ya 280 milioni. Fedha hizo zimetokana na kuuza hewa ya ukaa inayotokana na uhifadhi wa misitu.
Vijiji hivyo 8 vina misitu ya vijiji ambayo imehifadhiwa kwa maana ya kuendelea kuilinda na kuitunza. Wakati misitu hiyo inatunzwa na kubakia mali ya vijiji husika, bado kampuni ya CARBON TANZANIA (CT Ltd) imenunua hiwa hiyo na kuwalipa wananchi wa vijiji hivyo.
Aidha, wananchi wameziotumia hizo fedha kutengenezea madawati, vyumba vya madarasa pamoja na miundombinu ya afya.
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.