Mkurugenzi mtendji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda Bw. Romuli Rojas John anapambana kwa kuhakikisha vyumba 12 vinakamilika mapema. Vyumba hivyo vitapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza waliokosa nafasi katika sekondari zetu. Shule zinazotarajia kupokea wanafuni ni Sibwesa, Bulamata na Ilangu. Shule zote hizo ni mpya na zitasajiliwa mara baada ya kukamilika.
Jumla ya wanafunzi 363 wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamefaulu lakini walikosa nafasi. Wilaya ya Tanganyika ina shule za sekondari 8 na moja ya watu binafisi.
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.