150 MIL ZA MAPATO YA NDANI ZAJENGA “OPD” KATIKA KITUO CHA AFYA CHA KASEKESE
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika, Mhe. Hamadi Mapengo amefanya ziara ya kutembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika kituo cha afya cha Kasesekese.
Mradi huo unatekelezwa kwa fedha zinazotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika kwa kushirikiana na wananchi wa kata ya Kasekese.
Jengo hilo linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Machi, 2021.
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.