Sikukuu na maadhimisho ya Sabasaba katika Halmashuri ya Wilaya ya Mpanda (Tanganyika) imekuwa ya mafanikio makubwa kwa wafanyabiashara kwani wameweza kuongea na kutoa maoni yao juu ya maswala ya kibishaka katika Wilaya ya Mpanda (Tanganyika), baada ya kuongea na mkuu wa wilaya Salehe Mhando akiwa amejumuika na Mhe. Hamedi Mapengo Mwnyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Romuli R. John
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.