• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe ya ofisi |
Tanganyika District Council
Tanganyika District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanganyika District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasissi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu, ufuatiliaji na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Kitengo
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Miradi ya Elimu
    • Usafirishaji
    • Ufugaji Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Leseni za Biashara
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Matumizi Bora ya Ardhi
    • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kitaifa
    • Video za Shughuli za Halmashauri
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Gazeti la Mpanda Leo
    • Makala Mbalimbali

Madiwani Katavi watakiwa kuwa mabalozi kwa Vitendo zao la Pamba.

Posted on: October 26th, 2022

Madiwani Wilayani Tanganyika  wametakiwa kuwa mabalozi wa kwanza kuhamasisha Kilimo cha zao la Pamba kwa vitendo Mkoani humo ili kuleta hamasa kwa Wananchi kulima zao hilo na hivyo kuondokana na umasikini.

Rai hiyo imetolewa na Balozi wa zao la Pamba Nchini na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw.Agrey Mwanri katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika katika kikao cha tathmini ya Ziara yake aliyoifanya Wilayani humo iliyolenga kuhamasisha Wananchi kushiriki katika kilimo cha zao la Pamba.

Balozi Mwanri amewaambia Madiwani Wilayani Tanganyika kuwa endapo kila diwani ataamua kulima ekari moja ya Pamba katika eneo lake kwa kuzingatia kanuni na mbinu za kisasa za kilimo cha zao hilo, itatoa Hamasa kubwa kwa Wananchi kushiriki katika Kilimo cha zao la Pamba jambo litaloleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi katika Wilaya ya Tanganyika na Mkoa wa Katavi kwa ujumla.

“Tusaidieni,kampeni ya kwenu inapenya kuliko kampeni ya Balozi kwa sababu nyinyi ni  viongozi na mnabeba zamana,na endapo hamtawajibika na kuhamasisha nyinyi mtakua wa kwanza kuwajibika”alisema Balozi huyo wa zao la Pamba Agrey Mwanri.

Amesema ni muhimu uongozi kuhamasisha Wananchi kuzalisha mazao mbalimbali kwa ziada ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo Wilayani Tanganyika na Mkoa wa Katavi kwa ujumla.

Aidha Balozi Mwanri ameupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kwa kutoa ushirikiano wa kutosha kuhakikisha kuwa Kampeni ya hamasa ya zao la Pamba inafanikiwa kwa sehemu kubwa.

Awali akitoa taarifa ya tathmini ya Kampeni ya zao la Pamba iliyofanyika Wilayani Tanganyika Afisa Kilimo,Mifugo na Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Bw.amesema Vijiji 10 katika Hamashauri ya Wilaya ya  Tanganyika vimefikiwa na Elimu ya kuongeza tija katika uzalishaji wa zao la Pamba.

Amevitaja vijiji vilivyofikiwa na Kampeni hiyo kuwa ni Katobo,Kayenze,Bulamata,KabageKabatini,Mpembe,Kamsanga  ,Mpembe,Mnyagala,ambapo zaidi ya wakulima wa zao la Pamba 1014 wamefikiwa  na Kampeni hiyo yenye lengo la kuhamasisha mbinu bora na za kisasa za Kilimo cha zao la Pamba.

Kwa Upande wao madiwani wa Hamashauri ya Wilaya ya Tanganyika wameahidi kuwa mabalozi wa kuhamasisha zao la Pamba kwa vitendo ambapo wameahidi kulima zao la Pamba kisasa ili kutoa hamasa kwa Wananchi kulima zao hilo.

Matangazo

  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA May 27, 2025
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA DEREVA II, KATIBU MAHSUSI III NA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • UKUSANYAJI WA KODI WAPAA TANGANYIKA – DC: 'NDIYO NJIA PEKEE YA KULETA MAENDELEO'

    May 27, 2025
  • UKUSANYAJI WA KODI WAPAA TANGANYIKA – DC: 'NDIYO NJIA PEKEE YA KULETA MAENDELEO'

    May 27, 2025
  • HALMASHAURI ZA WILAYA YA MOMBA NA MAKETE ZAKUTANA WILAYANI TANGANYIKA KUJIFUNZA BIASHARA YA KABONI.

    May 26, 2025
  • TANGANYIKA KUENDELEA KUWEKA MIKAKATI KUBORESHA SUALA LA LISHE, WAKUU WA IDARA YA ELIMU NA WAKUU WA SHULE WAPEWA MBINU KUSIMAMIA UPATIKANAJI CHAKULA MASHULENI.

    May 13, 2025
  • Tazama zote

video

MILIONI 328 KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TFS TANGANYIKA, DC BUSWELU ASISITIZA UBORA WA MAJENGO.
Video nyingine

Mawasiliano ya Haraka

  • Taarifa kwa Umma
  • Orodha ya Madiwani
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA TANGANYIKA
  • Gazeti la Mpanda Leo
  • Habari Mpya
  • Mwanzo
  • Matukio
  • Matangazo

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikuli
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free visitor counters

Dira ya Ramani

Wasiliana Nasi

    TONGWE - MAJALILA

    Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA

    Telephone: +255-252955264

    Simu ya mkononi: 0754870344

    Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Test

Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.