• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe ya ofisi |
Tanganyika District Council
Tanganyika District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanganyika District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasissi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu, ufuatiliaji na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Kitengo
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Miradi ya Elimu
    • Usafirishaji
    • Ufugaji Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Leseni za Biashara
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Matumizi Bora ya Ardhi
    • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kitaifa
    • Video za Shughuli za Halmashauri
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Gazeti la Mpanda Leo
    • Makala Mbalimbali

Jangiri wa mazao ya misitu akamatwa Tanganyika

Posted on: July 31st, 2018

Jangiri  lakamatwa wilayani Tanganyika na mzigo wa 100 milioni.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya ya Tanganyika, ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Bw. Salehe Mhando ameagiza Aloka  Mashaka Kasunzu akamatwe na jeshi la polisi. Aloka Kasunzu amekamatwa julai 30, 2018 baada ya kukutwa na mazao ya misitu yenye thamani ya 100 milioni yaliyovunwa bila kufuata taratibu za uvunaji.

Maamzi hayo yamefanyika Julai 30, 2018 katika kikao cha kamati ya ulinzi na usalama katika ofisi za mkuu wa wilaya –Ifukutwa. Mkuu wa wilaya ya Tanganyika , Bw. Mhando aliwaita watuhumiwa wanne (Aloca M. Kasunzu, Yusuph Ally,  Awadh Joackim na Emmanuel Bupe) waliokutwa na mazao ya misitu ambayo hayakufuata utaratibu wa uvunaji.

“Huyu Aloca Mashaka Kasunzu ana ukwasi mwingi lakini unaotokana na mazao ya misitu ya wilaya ya Tanganyika. Sisi tunahangaika wapi pa kupata 500 milioni za kufungua barabara za Mishamo, kumbe kuna majangiri wanaendelea kujinufaisha na mali za Tanganyika. Kuanzia leo, nazuia utoaji wa vibali vya uvunaji hadi hapo tutakapojilizisha kuwa na wavunaji waaminifu. Bora tuwezeshe vijana wetu wa Tanganyika wajiunge katika vikundi ili wachane mbao na kutengeneza samani za shule na zahanati”. Alisema Bw. Mhando

Mazao hayo ya misitu yamekamatwa katika msitu wa Tongwe Mashariki. Tathmini ya awali imeonesha kuwa Aloca Kasunzu amevuna slipa 1936 sawa na shilingi 90,000,000 magogo ya mkurungu 108 sawa na shilingi 10,000,000.

Naye mwenyekiti wa chama cha Mapindunzi katika wilaya ya Tanganyika, mhe. Yasin Kibiriti amesikitika kuona kiongozi wa wananchi anajihusisha na biashara haramu.

Aloca Mashaka Kasunzu ni nani?

Aloca Mashaka Kasunzu ni diwani wa Halmashauri ya wilaya ya Uvinza. Ni mfanyabiashara za mazao ya misitu na biashara za nyumba ya kulala wageni. Ni jangiri wa muda mrefu wa mazao ya misitu yanayopatikana katika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda (Tanganyika), hasa katika misitu ya Tongwe Mashariki. Ni mtu asiyefuata wala kutii maelekezo ya viongozi hasa taratibu za uvunaji. Alikatazwa kuvuna miti aina ya Mkurungu, lakini yeye alivuna.

Matangazo

  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA May 27, 2025
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA DEREVA II, KATIBU MAHSUSI III NA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • UKUSANYAJI WA KODI WAPAA TANGANYIKA – DC: 'NDIYO NJIA PEKEE YA KULETA MAENDELEO'

    May 27, 2025
  • UKUSANYAJI WA KODI WAPAA TANGANYIKA – DC: 'NDIYO NJIA PEKEE YA KULETA MAENDELEO'

    May 27, 2025
  • HALMASHAURI ZA WILAYA YA MOMBA NA MAKETE ZAKUTANA WILAYANI TANGANYIKA KUJIFUNZA BIASHARA YA KABONI.

    May 26, 2025
  • TANGANYIKA KUENDELEA KUWEKA MIKAKATI KUBORESHA SUALA LA LISHE, WAKUU WA IDARA YA ELIMU NA WAKUU WA SHULE WAPEWA MBINU KUSIMAMIA UPATIKANAJI CHAKULA MASHULENI.

    May 13, 2025
  • Tazama zote

video

MILIONI 328 KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TFS TANGANYIKA, DC BUSWELU ASISITIZA UBORA WA MAJENGO.
Video nyingine

Mawasiliano ya Haraka

  • Taarifa kwa Umma
  • Orodha ya Madiwani
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA TANGANYIKA
  • Gazeti la Mpanda Leo
  • Habari Mpya
  • Mwanzo
  • Matukio
  • Matangazo

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikuli
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free visitor counters

Dira ya Ramani

Wasiliana Nasi

    TONGWE - MAJALILA

    Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA

    Telephone: +255-252955264

    Simu ya mkononi: 0754870344

    Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Test

Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.