Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi kwa pamoja limeridhia na kupitisha rasimu ya bajeti ya mwaka 2024/2025 ya zaidi ya shilingi Biilioni 33.7
Akiwasilisha rasimu ya bajeti hiyo, Afisa mipango Halmashauri ya Tanganyika, Deus Luziga amesema kati ya fedha hizo, zaidi ya Bilioni 9.9 ni mapato ya ndani na mapato fungwa ni Bilioni 4.4
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.