Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, Shaban Juma anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Robert Magnus, Afisa Mipango wa Halmashauri ya TAnganyika kilichotokea jioni ya March 10, 2024 katika Hospitali ya Kanda Bugando, Mwanza alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yatafanyika Tarehe 14/03/2024, Sengerema Mjini.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe. Amina
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.