• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe ya ofisi |
Tanganyika District Council
Tanganyika District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanganyika District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasissi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu, ufuatiliaji na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Kitengo
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Miradi ya Elimu
    • Usafirishaji
    • Ufugaji Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Leseni za Biashara
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Matumizi Bora ya Ardhi
    • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kitaifa
    • Video za Shughuli za Halmashauri
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Gazeti la Mpanda Leo
    • Makala Mbalimbali

Maonesho ya 23 ya nane nane Halmashauri ya wilaya ya Mpanda yaibuka mshindi.

Posted on: August 4th, 2017

Maoesho ya kilimo Nanenane kwa kanda ya nyanda za juu kusini yameingia siku ya nne huku banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda likionesha kuwa na mvuto wa hali ya juu kuwafanya wananchi wengi kuvutika kuja kutembelea na kujifunza mambo yanayopatikana katika Halmashauri hiyo.

Moja ya kivutio kikubwa ni kutangaza eneo la uwekezaji la Luhafwe kama ilivyo sera ya nchi ya Viwanda ili kukuza uchumi na kuwaletea wananchi maisha mazuri kwa kutumia kilimo chenye tija. Pichani ni Afisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda akitoa maelezo na elimu ya ramani ya eneo la uwekezaji la Luhafwe kwa wananchi waliopata fursa ya kutembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda akiwemo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpanda Romuli Rojas John

Aidha, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda amepongeza kwa dhati kazi nzuri inayofanyika  na kuwatia moyo wananchi wa wilaya ya Tanganyika kutokana na juhudi kubwa ya kuleta maendeleo kupitia shughuli za uzalishaji hasa kilimo kwa kuwa ndiyo uti wa mgongo kwa taifa, Pia akaahidi kuendelea kutoa ushirikiano wa karibu katika kusukuma kilimo kwenye Halmashauri yake kwa kushirikiana na wadau wengine wa maendeeo na kusisitiza wawekezaji kuja kuwekeza kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda kupitia maonesho hayo wanakaribishwa.

Matangazo

  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA DEREVA II, KATIBU MAHSUSI III NA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU WAFANYA ZIARA TANGANYIKA KUJINOA KUHUSU BIASHARA YA KABONI, MKURUGENZI NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI WAAHIDI MAKUBWA.

    April 08, 2025
  • WANANCHI ZAIDI YA 3700 KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA MAJI SAFI NA SALAMA, TANGANYIKA.

    April 09, 2025
  • MIAKA MINNE YA RAIS DKT. SAMIA, TANGANYIKA YAPOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 501 UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    April 14, 2025
  • WATENDAJI WA KATA & VIONGOZI WA WAFUGAJI WAPIGWA MSASA MATUMIZI BORA YA ARDHI NA UFUGAJI WA KISASA KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA

    March 27, 2025
  • Tazama zote

video

MILIONI 328 KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TFS TANGANYIKA, DC BUSWELU ASISITIZA UBORA WA MAJENGO.
Video nyingine

Mawasiliano ya Haraka

  • Taarifa kwa Umma
  • Orodha ya Madiwani
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA TANGANYIKA
  • Gazeti la Mpanda Leo
  • Habari Mpya
  • Mwanzo
  • Matukio
  • Matangazo

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikuli
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free visitor counters

Dira ya Ramani

Wasiliana Nasi

    TONGWE - MAJALILA

    Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA

    Telephone: +255-252955264

    Simu ya mkononi: 0754870344

    Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Test

Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.