• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe ya ofisi |
Tanganyika District Council
Tanganyika District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanganyika District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasissi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu, ufuatiliaji na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Kitengo
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Miradi ya Elimu
    • Usafirishaji
    • Ufugaji Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Leseni za Biashara
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Matumizi Bora ya Ardhi
    • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kitaifa
    • Video za Shughuli za Halmashauri
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Gazeti la Mpanda Leo
    • Makala Mbalimbali

Maonesho ya 23 ya nane nane

Posted on: August 2nd, 2017


Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Mkoani KATAVI  ni miongoni mwa Halmashauri zinazoshiriki katika maonesho ya wakulima Nanenane ya Nyanda za juu kusini yanayofanyika kwenye viwanja vya maonesho vya John Mwakangale Uyole Jijini Mbeya na ni moja ya Halmashauri inayofanya vizuri katika maonesho hayo kwa Halmashauri za mikoa ya nyanda za juu kusini kutokana na ubora za bidhaa zake na mambo yaliyopo katika banda la Halmashauri hiyo.

Halmashauri hiyo ambayo imekuwa inafanya vizuri katika maonesho hayo kwa miaka mitatu mfululizo, Katika maonesho ya mwaka huu  imejipanga kutangaza kwa nguvu fursa za uwekezaji zinazopatikana katika Halmashauri hiyo hasa eneo lililotengwa kwa ajili ya uwekezaji lenye hekta 46, 000, kwa ajili ya  uwekezaji  na kuwashawishi wawekezaji wakawekeze katika eneo hilo sanjali na kutangaza vivutio vya utalii wa ndani kwa kutangaza eneo la utalii ikolojia la Luhafwe.

Akizindua Maonesho hayo Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa amesisitiza suala la kutenga maeneo kwa ajili ya vijana waweze kujikita katika kilimo na suala la kuongeza thamani mazao ya wakulima ili kuongeza kipato na kumkomboa mkulima.

Kwa mantiki hiyo Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda Kwa kutenga eneo la uwekezaji la Luhafwe pamoja na maeneo mengine ni jambo ambalo limepongezwa na kuzitaka Halmashauri nyingine zifanye kama Halmasauri ya Wilaya ya Mpanda.

Pia amewataka wakuu wa Mikoa na Wilaya na Wakurugenzi wa Halmshauri za nyanda za juu kusini kushiriki katika maonesho ya utalii yanayotarajiwa kufanyika mkoani Iringa kwa lengo la kufungua utalii  kwa mikoa ya kusini na kuendeleza utalii wa Ndani ,ameeleza kwa kufanya hivyo wataweza kutangaza vivutio vilivyoko katika mikoa hiyo kama mbuga kubwa ya luaha, Hifadhi ya Katavi, Fukwe za ziwa Tanganyika na Nyasa  na maeneo mengine ya Mikoa hiyo.

Maonesho ya wakulima  NaneNane yanaendelea na yatafikia kilele chake Augusti Nane mwaka huu na kauli mbiu ya mwaka huu zalisha kwa tija ili kufikia uchumi wa kati.

Matangazo

  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA May 27, 2025
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA DEREVA II, KATIBU MAHSUSI III NA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA YAPATA HATI SAFI UKAGUZI WA HESABU ZA CAG.

    June 17, 2025
  • MKUU WA WILAYA AMEIAGIZA MENEJIMENTI KUTATMINI MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2025.

    June 26, 2025
  • HOSPITALI YA WILAYA YA TANGANYIKA YENYE THAMANI YA BIL 3.48 INAVYOSAIDIA WANANCHI.

    June 17, 2025
  • JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO, SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 16, 2025
  • Tazama zote

video

MILIONI 328 KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TFS TANGANYIKA, DC BUSWELU ASISITIZA UBORA WA MAJENGO.
Video nyingine

Mawasiliano ya Haraka

  • Taarifa kwa Umma
  • Orodha ya Madiwani
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA TANGANYIKA
  • Gazeti la Mpanda Leo
  • Habari Mpya
  • Mwanzo
  • Matukio
  • Matangazo

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikuli
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free visitor counters

Dira ya Ramani

Wasiliana Nasi

    TONGWE - MAJALILA

    Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA

    Telephone: +255-252955264

    Simu ya mkononi: 0754870344

    Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Test

Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.